Skip to main content

Posts

THE SYNOD ON NEW EVANGELIZATION

AMECEA: Remembering the Synod on New Evangelization The Thirteen Ordinary General Assembly for the New Evangelization, which begun on 8 th October, ended on 28 th October with Holy Mass by the Holy Father, Pope Benedict XVI. The Holy Father offered a reflection on the Gospel reading of the day (John 9:39-41), which spoke about the healing of Bartimaeus, the last miracle Jesus performed before his passion.    The theme of the homily by the Holy Father was: “The New Evangelization Applies to the whole of the Church’s Life”. He stressed that the healing of Bartimaeus “represents man who needs God’s light, the light of faith, if he is to know reality truly and to walk the path of life. It is essential to acknowledge one’s blindness, one’s need for this light, otherwise one could remain blind forever. Bartimaeus represents man who has lost the light and knows it, but has not lost hope: he knows how to seize the opportunity to encounter Jesus and he entrusts himself to ...

TANZIA

TANZIA MAREHEMU SISTA CRESENCIA NGOMBALE TAREHE 14/10/2012 Wahashamu Maaskofu wa Jimbo Katoliki la Ifakara na Mahenge, Mama Mkuu wa Shirika la Masista wa Upendo wa Mt. Fransisko wa Asizi na Jumuiya ya Mapadri na Watawa wa Majimbo yote mawili wanasikitika kwa Kifo cha Mpendwa wao Sr. Maria Cresencia B. Ngombale. Sr. M. Cresencia Benedict Ngombale ni mzaliwa wa Parokia ya Kipatimu. Alizaliwa Januari 1926 kwa wazazi, Baba:   Benedict Ngombale   Mama: Rozina Namboweto   Jina lake la ubatizo aliitwa Melania Tarehe 09/12/1945 alijiunga rasmi na Shirika la Masista wa Upendo wa Mt. Fransisko wa Asizi – Jimbo la Mahenge kwa kufunga nadhiri za kwanza. Mama Cresencia alikuwa mmojawapo kati ya kundi la pili katika shirika. Katika kipindi cha Unovisi, alisomea ualimu Kwiro – Mahenge, ambayo kwa sasa ni shule ya sekondari ya wasichana ya Mt. Agnes.   Sehemu alizokaa wakati wa uhai wake ni: Kwiro, Ifakara, Sofi, Mofu na Sali kama mwal...

SHUKRANI YA MAVUNO

Kushukuru ni kuomba, lakini kushukuru ni Uungwana. Mhashamu Baba Askofu Salutaris Libena wa Jimbo Katoliki la Ifakara anayofuraha kubwa sana kuwaalika Mapadre,Watawa na Walei wa Jimbo la Ifakara kwenye adhimisho la Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya Kumshukuru Mungu kwa Neema na Baraka mbalimbali ambazo anatujalia, katika Jimbo letu siku ya Ijumaa ya tarehe 21/09/2012 katika Kanisa Kuu la Jimbo (Ifakara).   Pia katika misa hiyo Askofu, Mapadre, Watawa na Walei wanaungana na Mapadre H. Itatiro, L. Mdenkeri na A. Magome ambao wanatimiza miaka 40 ya Upadre, pia na Padre Kawewela ambaye anatimiza miaka 25 ya Upadre.